Matangazo

Karibu katika Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Afrika

18 Julai, 2026
Karibu katika Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Afrika

Karibu katika Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Afrika!

Gundua mkusanyiko wetu mpana wa historia ya harakati za ukombozi kupitia Maktaba, Jumba la Makumbusho, na Kumbukumbu za Nyaraka zetu.

Ada za Kiingilio:

  • Raia wa Tanzania walio chini ya miaka 18: Shilingi 1,000

  • Raia wa Tanzania wenye umri wa miaka 18 na zaidi: Shilingi 2,500

  • Wageni kutoka nje ya Tanzania walio chini ya miaka 18: Shilingi 7,500

  • Wageni kutoka nje ya Tanzania wenye umri wa miaka 18 na zaidi: Shilingi 12,500

Saa za Kufungua:

  • Kufungua: Saa 1:30 asubuhi

  • Kufunga: Saa 10:00 jioni

Urithi wa Ukombozi: Fahari ya Afrika

Matangazo
lbl_need_any_help