Malengo

Malengo

Lengo Kuu

Kutambua, kulinda, kuhifadhi, kuendeleza na kutangaza Urithi wa Ukombozi wa Afrika kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Malengo Mahsusi

Kituo kinalenga kutekeleza malengo mahsusi yafuatayo:
i.    Kufanya tafiti, kuandaa nyaraka na kuweka kumbukumbu na kutangaza urithi wa ukombozi wa Afrika;
ii.    Kutambua na kuenzi mashujaa wa harakati za ukombozi wa Afrika;
iii.    Kujenga uwezo wa kitaalamu wa watendaji na wadau katika kutambua, kulinda, kuhifadhi, kuendeleza na kutangaza Urithi wa Ukombozi wa Afrika;
iv.    Kuimarisha ushirikiano na uratibu miongoni mwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika na wadau wengine katika usimamizi, uhifadhi na uendelezaji wa Urithi wa Ukombozi wa Afrika;

lbl_need_any_help