Ada na Viingilio
| Aina ya Huduma | Aina ya Mgeni / Huduma | Kiasi (TZS) | Kiasi (USD) |
|---|---|---|---|
| VIINGILIO | |||
| Mtanzania / Mkazi wa Afrika Mashariki – Mtu mzima (kwa siku 1) | 2,500 | 1 | |
| Mwanafunzi (kwa siku 1) | 1,000 | - | |
| Kundi la watu wazima chini ya kumi (kwa siku 1) | 10,000 | 4 | |
| Mgeni kutoka nje ya nchi – Mtu mzima (kwa siku 1) | 12,500 | 5 | |
| Mwanafunzi kutoka nje ya nchi (kwa siku 1) | 7,500 | 3 | |
| HUDUMA ZA MAKTABA | |||
| Mtanzania (kwa siku 1) | 2,500 | 1 | |
| Mgeni kutoka nje ya nchi (kwa siku 1) | 5,000 | 2 | |
| MAKTABA YA SAUTI | |||
| Mtanzania (kwa siku 1) | 10,000 | 4 | |
| Mgeni kutoka nje ya nchi (kwa siku 1) | 50,000 | 18 | |
| HUDUMA ZA UTAFITI | |||
| Mtafiti Mtanzania (kwa siku 1) | 15,000 | 6 | |
| Mtafiti kutoka nje ya nchi (kwa siku 1) | 27,000 | 10 | |
| UKUMBI WA MIKUTANO | Kukodisha ukumbi (kwa siku 1) | 350,000 | 130 |
| UPIGAJI PICHA NA VIDEO | |||
| Mtanzania (kwa siku 1) | 100,000 | 38 | |
| Mgeni kutoka nje ya nchi (kwa siku 1) | 200,000 | 75 | |
| UNUNUZI WA PICHA | |||
| Picha 1 – Mtanzania | 15,000 | 6 | |
| Picha 1 – Mgeni kutoka nje ya nchi | 50,000 | 18 | |
| UNUNUZI WA NAKALA ZA VITABU | |||
| Kitabu 1 – Mtanzania | 20,000 | 8 | |
| Kitabu 1 – Mgeni kutoka nje ya nchi | 25,000 | 10 | |
| UNUNUZI WA NAKALA ZA HOTUBA | |||
| Hotuba 1 – Mtanzania | 25,000 | 10 | |
| Hotuba 1 – Mgeni kutoka nje ya nchi | 60,000 | 22 |