Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo ilipotembelea Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Afrika Jijini Dar es Salaam