Kituo hiki kipo katika:
Kijiji cha Dakawa.
Kata ya Magore.
Tarafa ya Magore.
Wilaya ya Kilosa.
Kituo kipo kilomita 55 Kaskazini Magharibi mwa mji wa Morogoro kuelekea Dodoma na kilomita tano (5) kushoto. .
Barabara kutoka Morogoro hadi njia panda ya kwenda Dakawa ni ya lami na barabara ya njia panda hadi Dakawa ni ya changarawe na inapitika wakati wote.