Nyumba hiyo ilikuwa ofisi kuu ya ANC Mkoani Morogoro iliyokuwa na kazi ya kufanya mahusiano ya wanachama na kusimamia ujenzi wa makambi ya Mazimbu na Dakawa.
Ofisi ilikuwa:-
Mtaa wa Korogwe
Serikali ya Mtaa wa Kingo
Kata ya Kingo
Tarafa ya Morogoro Mjini
Manispaa ya Morogoro
Nyumba Na. 25/M
Nyumba hiyo ni moja ya nyumba ambazo wapigania uhuru walikodisha kwa ajili ya kuishi viongozi wao kama Oliver Tambo.
Nyumba ipo:-
Mtaa wa Korogwe
Serikali ya Mtaa wa Kingo
Kata ya Kingo
Tarafa ya Morogoro Mjini
Manispaa ya Morogoro