Wapigania uhuru wa Pan African Congress (PAC) kutoka Afrika Kusini walihifadhiwa katika:
Kijiji cha Kidogozero (Kitongoji cha Masuguru)
Kata ya Vigwaza
Tarafa ya Msoga
Wilaya ya Bagamoyo.
Tanzania