Eneo la Mkuyu ni eneo pekee mkoani Tanga ambalo kihistoria lilikaliwa na wapigania uhuru wa chama cha ANC wakati wa harakati za kupigania uhuru nchini Afrika Kusini miaka ya 1980. Eneo hili lipo:-
Kijiji cha Mafuleta
Kata ya Jaila
Tarafa ya Mswaki
Wilaya ya Kilindi
Kwa sasa ni shule ya sekondari
Kijiji kipo kilomita 100 kutoka Kilindi mjini. Aidha kipo kilomita 97 toka Korogwe mjini, na kilomita 85 kutoka kijiji cha Mkata