Miaka michache baada ya Msumbiji kujipatia uhuru yaani mwaka 1978 Tanzania na Msumbiji ziliingia Mkataba wa kuanzisha chuo cha mambo ya nje.
Chuo kipo katika:-
Barabara ya Kilwa
Serikali ya Mtaa wa Minazini
Kata ya Kurasini
Tarafa ya Chango’mbe
Manispaa ya Temeke