Kambi ya Mgagao - Wilaya ya Kilolo | Iringa

Kambi ya Mgagao - Wilaya ya Kilolo | Iringa

Tanzania
Kambi ya Mgagao - Wilaya ya Kilolo | Iringa

Katika Mkoa wa Iringa kuna maeneo matatu yanahusishwa na harakati za wapigania uhuru ambayo ni Mgagao, Ofisi ya Kikosi Maalum cha JWTZ na Nyumba 12 za wakufunzi wa JWTZ.

Shughuli za wapigania uhuru wa ZIPA, ZANLA, PAC na ANC zilifanyika katika:-

Kijiji cha Kihesa (Kitongoji cha Mgagao)

Kata ya Ukumbi

Tarafa ya Kilolo

Wilaya ya Kilolo

lbl_need_any_help