Ukumbi wa Mkapa (Mkapa Conference Centre) upo eneo la Soko Matola katikati ya Jiji la Mbeya karibu na Loleza Shule ya Sekondari ya Wasichana. Katika eneo hilo upo ukumbi ulipofanyika mkutano wa PAFMESCA kwa sasa unaitwa Mkapa Conference Centre.
Tanzania