Shule ya Sekondari ya Samora Machel | Mbeya

Shule ya Sekondari ya Samora Machel | Mbeya

Tanzania
Shule ya Sekondari ya Samora Machel | Mbeya

Iliyokuwa ikijulikana kama kambi ya FRELIMO eneo la Airport, sasa ni shule ya sekondari ya Samora Machel ipo:-

Kijiji cha Iyera

Kata ya Iyera

Tarafa ya Iyunga

Halmashauri ya Jiji la Mbeya

Katika Mitaa ya Jiji

Katika baadhi ya mitaa ya jiji la Mbeya wapigania uhuru walikuwa na makazi yao kama ifuatayo:-

Wana-Msumbiji walikaa mtaa wa “Game” – eneo la Ghana.

Wana-Zimbabwe walikaa mtaa wa Marwa – eneo la Ghana.

Wana-Angola walikaa mtaa wa “Circle” – eneo la Uhindini.

Waliochanganyika walipanga eneo la Soko Matola zilipokuwepo nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na sasa zimebomolewa.

Nyumba walizokaa katika mitaa ya Game, Marwa na Circle ni mali ya watu binafsi.

lbl_need_any_help