Kituo na Taasisi ya Hazina Creative yaweka mipango ya pamoja ya kutangaza urithi wa ukombozi nchini
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha USIU-AFRICA kutokea nchini Kenya wakiuliza maswali mbalimbali kuhusiana na Kituo.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha USIU-AFRICA kutokea nchini Kenya wakipongeza Kituo kwa jitihada za kuhifadhi kumbukumbu za historia ya Afrika.
Waziri wa Veterani wa Jamhuri ya Msumbiji afanya ziara ya kutembelea Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Afrika
Ujumbe wa viongozi na wataalamu kutoka taasisi binafsi na serikali ya Jamhuri ya Msumbiji umetembelea Makavazi ya Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Afrika
Rais wa Jamhuri ya Namibia Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah akitoa heshima kwa wapigania uhuru wa Namibia waliozikwa Kongwa, Mkoani Dodoma.